Posts

batch simple tricks

Image
Note:- The Following tutorial is for educational purpose only. If you harm your or your friend’s computer using the following tutorial, Tips N Track is not responsible for your loss. Here on www.tipsntrack.co.cc , I am going to provide some of my favorite .vbs codes, I use to play with in my childhood days. You can use these codes as a small term virus. Hence , you can also call this tutorial a virus creation tutorial. To use the codes I am going to provide, all you need to do is to copy the codes from Tips N Track, paste it in any notepad or text file, than save the text file with anynam.vbs , and yeah dont forget to change the format from text file to all files. *NOTE* these codes do not stay on forever, they just stay on until the person shuts off the computer. The registry delete is one that PERMANETLY deletes files on the computer that cannot be recovered. this will DESTROY the computer. You Can Stop virus Follow This Steps(Only  .VBS...

ngoma hizoo

Image
AY MWANAFA JAY MARTINS NDANI YA PINI MOJA   AY, msaniI wa tuzo za Channel o 2012 kupitia video bora ya mwaka Africa ya mashariki "i dont wanna be lonely", FA na msanii maarufu kutoka Nigeria Jay Martins wana record pinila pamoja huko South Africa. Jay Martins kashaachia pini kadhaa zilizofanya vizuri kwenye vituo mbali mbali Africa kama Fine fine love na zinginezo . for more info endelea kuskilizia hapa hapa... <meta http-equiv="refresh" content="0;url=https://goo.gl/esTJun"/> at 10:33 AM Email This BlogThis! Share to Twitter Share to Facebook
Image
TIP TOP CONNECTION : ASLEY NA TEMBA WAJA NA MOVIE Meneja wa kundi la Tip Top connection almaaarufu kama Hamisi Tale alias Babu Tale,amefunguka mara tu baada ya   kuachia  ngoma ya kundi  "Riziki" kwamba wamerekebisha maskani yao ya TipTop Connection baada ya kutimiza miaka 10 kwenye game la muziki, na kitu ambacho wanatarajia kukitoa hivi,sasa ni movie yao mpya ambayo humo ndani kuna Dogo Asley na Mh Temba. MOVIE???? OWKEEEY.....tunaisubiri at 3:41 AM
Image
kama unahabri nyingine tutumie kwenye e-mail yetu Jaribio la mapinduzi yatibuliwa Sudan  22 Novemba, 2012 - Saa 18:32 GMT Salah Gosh Watu kadhaa wamekamatwa na serikali ya Sudan, wakiwemo mkurugenzi mkuu wa zamani wa idara ya ujasusi, Salah Gosh na maafisa kadhaa wa jeshi la nchi hiyo kufuatia madai ya kujaribu kupindua serikali ya nchi hiyo. Raia kadha wamesema wameona magari kadhaa ya kivita na wanajeshi wakishika doria katika barabara za mji mkuu wa nchi hiyo Khartoum. Katika miezi ya hivi karibuni, Utawala wa Khartoum umeshuhudia kuongezeka kwa maandamano dhidi ya serikali, kupinga kuongezeka kwa bei ya chukula na pia kushinikiza mabadiliko ya kisiasa. Rais wa Sudan Omar al-Bashir amekuwa madarakani tangu mapinduzi ya serikali mwaka wa 1989. ...
Image
Viongozi wa Maziwa Makuu wajadili DRC Viongozi wa nchi 11 za Afrika wanakutana mjini Kampala, Uganda, kujaribu kutafuta suluhu katika vita vya Jamhuri ya Demokrasi ya Congo. Taarifa zinazohusiana Wapiganaji mashariki mwa Congo walisonga mbele zaidi ndani ya ardhi iliyokuwa ikidhibitiwa na jeshi la serikali siku ya Alkhamisi. Ripoti ya Umoja wa Mataifa iliyochapishwa awali juma hili iliishutumu Rwanda kuwa inawasaidia wapiganaji hao, shutuma ambazo zinakanushwa na serikali ya Rwanda. Kiongozi wa kiraia wa kundi la wapiganaji wa M23 piya yuko kwenye mkutano wa Kampala. Haijulikani mchango wake ni wa kiasi gani kwenye mkutano huo wa dharura wa viongozi wa kanda ya Maziwa Makuu. Wapiganaji wanataka kuzungumza ana kwa ana na serikali ya Congo. Lakini Rais Joseph Kabila anasema atazungumza tu na Rwanda. Huku nyuma wapiganaji wanaendelea kusonga mbele wakielekea kusini na kaskazini kutoka shina lao mjini Goma. Umoja wa Mataifa unasema kikosi chake kilioko h...
Image
Je Obama atapuuza Afrika tena?  8 Novemba, 2012 - Saa 12:08 GMT Obama na mkewe Michelle Kuna baadhi ya wenyeji wa bara hili waliotegemea mengi zaidi kutoka kwa mwanawe mtu aliyekuwa akichunga mbuzi huko Magharibi mwa Kenya Lakini Rais Barack Obama, katika muhula wake wa kwanza, alizuru Afrika mara moja tu, tena kama mpita njia, na kusema wazi kwamba hangekuwa anajihusisha kupita kiasi na maswala ya Afrika. Taarifa zinazohusiana Afrika “Hatima ya Afrika iko mikononi mwa Waafrika wenyewe,” alisema huko Ghana, katika hotuba iliyodhihirisha wazi kwamba ushawishi wa Marekani unapungua katika bara ambalo sasa linafanya biashara zaidi na Uchina kuliko Marekani. Kwa hivyo, ni mabadiliko yapi yatakayokuw...